Wanafunzi waliopangwa na TAMISEMI kujiunga na Chuo cha Elimu ya Biashara CBE wanatakiwa kizingatia yafuatayo
- Kuthibitisha kukubali kujiunga na CBE kuanzia tarehe 25/06/2020
- Mwisho wa kuthibitisha ni tarehe 15 Agosti 2020
- Mwanafunzi atafanya uthibitisho kupitia kiunganishi kinachoitwa UTHIBISHO TAMISEMI katika tovuti ya NACTE ambayo ni www.nacte.go.tz
- Mwanafunzi ambaye hatathibitisha kukubali nafasi aliyochaguliwa, nafasi yake itachukuliwa na wanafunzi wengine.
- Wanafunzi wanaotaka kufanya mabadiliko ya kozi au chuo walichochaguliwa wanaruhusiwa kufanya hivyo kuanzia tarehe 01 Agosti hadi 30 Agosti 2020 kupitia mtandao wa NACTE.
- Fomu ya kujiunga na chuo (Joining Instructions) itapatikana baada ya uthibitisho au mwanafunzi anaweza kuupakua kipitia tovuti ya chuo ambayo ni www.cbe.ac.tz
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia, barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. au piga simu:
Dar es Salaam Dodoma Mwanza Mbeya
0655 250 115 0767 097 463 0763 296 874 0652 255 633
Karibuni sana.
IMETOLEWA NA OFISI YA MAKAMU WA CHUO
TAALUMA, UTAFITI NA USHAURI,
CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA - CBE,
BARABARA YA BIBI TITI MOHAMMED,
S.L.P 1968,
DAR ES SALAAM.